Vituko mitandaoni. Tupia chako
IMG-20241012-WA0033(1).jpg
 
Unajifanya gentleman (simp) eti unamheshimu na kujifanya mwelewa wakati umeswekwa kwenye friends zone; au sijui zone gani huko. Bila hata aibu utajitoa na kutumikishwa wee huku kumbe bad boys wasio hata na malengo naye wanamla. Wanawake ni viumbe wa ajabu sana!

20241006_173110.jpg
 
Back
Top Bottom