Vituko mitandaoni. Tupia chako
Ilisikika sauti "Shikilieni picha ili mpigwe picha,hakikisheni sura zenu hazionekani" wakasahau kuficha miguu😂
IMG-20241012-WA0105.jpg
 
Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman: "Kuanzia sasa wanawake wa saudia ndo wana jukumu la wavae vazi lipi na mtindo upi siyo mwanaume anayepaswa kumpangia mwanamke cha kuvaa wala dini yake bali yeye mwenyewe,tukubali kubadilika!" Amesema
20241013_020449.jpg
 
Back
Top Bottom