Vituko mitandaoni. Tupia chako
Mshangazi mmoja sawa na hao kumi na moja
N.B USIFANANISHE MASHANGAZI NA KIZAZI CHA U.T.I
IMG_20241016_165003.jpg

Hold on, KAPAFONA! You know what I am saying manigga 😆
 
Mshangazi mmoja sawa na hao kumi na moja
N.B USIFANANISHE MASHANGAZI NA KIZAZI CHA U.T.I

Aahahahaa jamaniii, ila sielewi wapi shida ilianzia na nini kimeshindikana na nini kilisababisha au chanzo chake....

Hao mashangazi ndio mama za hawa kizazi kipya, mabinti, doctor aka 2,000 generation.

Kama mama zao walilelewa wakafundwa na hata sasa ni mashangazi na wanazeeka na utamu wao.... sasa imekuwaje hao mashangazi kushindwa kurithisha ujuzi wa mahaba, upishi, usafi, ufundi kitandani, ukarimu na uvumilivu et al....

Ni kuwa mashangazi walikiwa wachoyo kirithisha au hawa 2,000 ni wabishi hawataki kupokea kijiti matokeo yake wanaume wote macho kwa mashangazi....!!???

Natafakuri sijapata jawabu....
 
Back
Top Bottom