Vituko mitandaoni. Tupia chako
FB_IMG_1729397438378.jpg
 
Kuna mzee mmoja kijijini kwetu kule alikuwa na wake wawili, alipofika miaka 75 alienda kuishi peke yake , mpaka alipofikia miaka 90 ndio alihitaji msaada , alikaa na mjukuu wake mpaka miaka 124 ndio akafariki.
Aliishi single karibu miaka 50 ! Angeendelea kukaa na wake zake siju kama angetoboa mia, ingawa wake zake walimtangulia.
 
Back
Top Bottom