Vituko mitandaoni. Tupia chako
Alooo hii intermila Wala haikuwa na mastaa kibao wakusema watabeba UEFA ila bwana kulikuwa na wachapa kazi kweli kweli...lucio Walter Samuel eto Diego milito sniejder Julio Cesar maicon enzi hizo katika ubora wake kavla hajatolewa pumu na Gareth bale 🤣🤣🤣
Timu ilichukuwa individual awards zote za UEFA msimu huo.
Best coach, best keeper, best defender, best midlfielder na best striker. Katika Moja ya kazi Bora sana ya Mourinho ni hii ya kushinda UEFA na inter milan
JIFUNZE KWA MOURINHO🗣️

Jose Mourinho anasema nilipokuwa kocha wa Inter Milan alikuja mbele yangu mchezaji Zlatan Ibrahimovic akasema nataka kuondoka klabuni hapa ili nikashinde ubingwa wa UEFA.

"Wasaidizi wangu walihofia wakiamini kuwa hatuwezi kushinda bila yeye, hata wachezaji wenzake hawakutaka tumpoteze".
Hata mimi nilipata hofu lakini nikasema pengine ukiondoka tutashinda.

Kisha nikasema kama ataondoka tutajaribu kumsajiri Samuel Etoo ambae alikuwa anacheza Barcelona ambayo Etoo alitaka kwenda.
Niliamini kuwa Diego Milito na Etoo wanaweza kuleta kitu cha tofauti kimbinu ndani ya timu yetu.

Mazungumzo yakafanyika Ibrahimovic na Etoo wakabadilishana timu.
Ibrahimovic alidumu kwa msimu mmoja tu ndani ya Barcelona lakini Etoo alishinda mataji matatu mfululizo akiwa na Inter.

Kupitia kisa hiki tunajifunza kwamba kwenye maisha kuna wakati unatakiwa kuwaacha baadhi ya watu waondoke kwenye maisha yako hata kama unawapenda kupita maisha yenyewe....

Inawezekana Mungu amepanga ushinde makubwa ukiwa bila wao kwa sababu uwepo wao unaziba milango ya watu wengine waliobora kuja kwenye njia yako na kukusaidia kufikia malengo yako.

©JIFUNZE KUJIFUNZA
 
Anarudi, akibeba hadithi kwenye kila ukurasa. Akiwa mwanamke, yeye ni kama kitabu—kuna fumbo lililoandikwa katika kila sura, linalongoja kusomwa na kueleweka. Kila moja ya kurasa zake ina hadithi zinazozua udadisi, hadithi zinazonong'ona kwa upole lakini kwa kina. Wanaalika mtu yeyote aliye tayari kuzama zaidi, kupata maana iliyofichika nyuma ya kila neno. Kwa mwanamke, kama kitabu, haikusudiwa kukisiwa, lakini kueleweka, ukurasa kwa ukurasa
FB_IMG_1730515493393.jpg
 
Huyu mama anaongea point ..... popote duniani nilikotembelea sijawahi ona choo halafu kuna mtu yuko mlangoni anakusanya ushuru, akiwa na bango: "choo ndogo ts200 au choo kubwa 500
 
Back
Top Bottom