Vituko mitandaoni. Tupia chako
Hebu msikilize ambaye hawezi hata kuwa mwenyekiti wa mtaa 👇👇👇

IMG-20241227-WA0075.jpg

 
🙏🏿🙏🏿🙏🏿

IMG-20241228-WA0087.jpg


#HABARI: Watu sita wakiwemo walimu watano wamefariki dunia, baada ya gari aina ya Prado namba T 647 CVR walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kuwaka moto, majira ya saa mbili Asubuhi leo tarehe 28 Disemba, 2024 katika Kijiji cha Chunya wilayani Mbinga mpakani mwa Wilaya ya Mbinga na Nyasa mkoani Ruvuma.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri amethitisha tukio hilo na kuwataja waliofariki ni;

1.⁠ ⁠VICENT ALEL MILINGA (DEREVA)
2.⁠ ⁠DAMAS DAMAS NAMBOMBE (MWL)
3.⁠ ⁠DOMINICA ABEAT NDAU (MWL)
4.⁠ ⁠JUDITH JOSEPH NYONI (MWL)
5.⁠ ⁠JOHN SYLVESTER MTUHI (MWL)
6.⁠ ⁠BONIFACE BOSCO MAPUNDA (Raia).

@Radioonetanzania
 
Back
Top Bottom