Vituko mitandaoni. Tupia chako
IMG_20241229_082951.jpg
 
Mnaharibu huu uzi, Nafikiri ulitakiwa kuwa wa vituko na vichekesho Miaka ya nyuma nilikuwa nikisoma huu uzi vichrko tu Nafurahi nimerudi leo Mnapost Siasa na Masuala mengine tofauti kabisa, Kausheni Unataka kumuongelea Mbowe,Lissu,Samia,Ccm,Chadema nenda kwenye jukwaa la Politics
 
Uzi hautaharibika kwa kupostiwa utani na vibonzo vya akina Mbowe na Lissu huku. Just relax maana mambo siyo siriazi kama unavyoyataka yawe!

IMG-20241229-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom