Vituko mitandaoni. Tupia chako
1737737145456.jpg
 
🚨Mwamba Huyu Hapa 😀😀😀

➡️Mchumba wa staa wa Nigeria na klabu ya Bayerlevakusen ya Ujerumani Victor Boniface ameamua kuvunja uhusiano na staa huyo baada ya kubaini kwenye mali zake zote ameandika majina ya mama yake mzazi tu

➡️Binti huyo raia wa Norway amechukua uamuzi huo huku wakiwa tayari wamedet kwa miaka minne, katika harakati za kujaribu kufunga ndoa ndio akabaini suala hilo na kuamua kujitoa

➡️Mwamba kaamua kutekeleza ilani kwa vitendo 😁😁😁.
1737782037579.jpg
 
🚨Mwamba Huyu Hapa 😀😀😀

➡️Mchumba wa staa wa Nigeria na klabu ya Bayerlevakusen ya Ujerumani Victor Boniface ameamua kuvunja uhusiano na staa huyo baada ya kubaini kwenye mali zake zote ameandika majina ya mama yake mzazi tu

➡️Binti huyo raia wa Norway amechukua uamuzi huo huku wakiwa tayari wamedet kwa miaka minne, katika harakati za kujaribu kufunga ndoa ndio akabaini suala hilo na kuamua kujitoa

➡️Mwamba kaamua kutekeleza ilani kwa vitendo 😁😁😁.View attachment 3213216
Mwendo ndio huo huo. Hawa mpaka watakaa sawa hamna kuwaonea huruma kenge hawa.
 
🚨Mwamba Huyu Hapa 😀😀😀

➡️Mchumba wa staa wa Nigeria na klabu ya Bayerlevakusen ya Ujerumani Victor Boniface ameamua kuvunja uhusiano na staa huyo baada ya kubaini kwenye mali zake zote ameandika majina ya mama yake mzazi tu

➡️Binti huyo raia wa Norway amechukua uamuzi huo huku wakiwa tayari wamedet kwa miaka minne, katika harakati za kujaribu kufunga ndoa ndio akabaini suala hilo na kuamua kujitoa

➡️Mwamba kaamua kutekeleza ilani kwa vitendo 😁😁😁.View attachment 3213216
Ameni copy mimi & Ashraf Hakim
 
Back
Top Bottom