Vituko mitandaoni. Tupia chako
1737727572266.jpg
 
My take: Ujumbe mzito wa kwenye hii video clip, Haistaili kuwa kwweny thread ya vituko, Maana inagusa Afya yako moja kwa moja

Je wangapi huwa tunakumbuka ku_check Afya zetu hata kama haujaumwa?
  • Je kwa mwaka unfanya hivyo mara ngapi?
  • Au Je tunasubiria uemwe kwanza ndipo uende hospitali kupima?
Ujumbe: Kuto kuumwa sio kigezo cha kuwa na Afya njema.

View: https://www.youtube.com/shorts/NT-38DEtFws
 
Back
Top Bottom