Mke na mume walitembelea shamba lao la mifugo.
Baada ya kuingia shambani Walimwona ng'ombe Dume akifanya mapenzi na ng'ombe jike.
Mke alimuuliza msimamizi wa shamba:
MKE : hivi hufanya mara ngapi kwa siku?
MSIMAMIZI: Mara 6 au zaidi kwa siku.
Yule mwanamke akamtazama mumewe na kusema..."Unaona nguvu za wanaume!!!"
Kisha Mwanaume akamwuliza msimamizi:
MME: Hivi msimamizi Unamaanisha mara 6 kwa siku Kwa ng'ombe jike huyo huyo mmoja au ?
MSIMAMIZI:, Hapana, hapana, sio anampanda huyo huyo mmoja, ni hivi NG'OMBE DUME anauwezo wa kuyafanya MAJIKE sita tofauti mara sita au zaidi kila siku. NG'OMBE DUME hawezi kumrudia huyo huyo mmoja mara sita, anabadilisha badilisha..
Mwanaume akamtazama mkewe na kumwambia ..."Unaona Mke wangu huyo ndio Mwanaume !!!"
😂😂😂😂