Vituko mitandaoni. Tupia chako
FB_IMG_1741331598024.jpg
 
Hahaha,
Kuna group moja la whatsapp niliona admin anahamasisha wana group kujiunga na hilo genge:

Admin: jamani, jiungeni humo, kipato ni uhakika, tena unalipwa daily. Kuna siku mtanishukuru sana.
Akaweka orodha ya vifurushi...

Mimi: angalizo kabla ya hatari: hapo kupigwa ni 💯, hiyo kulipwa daily ni chambo, ni suala la muda tu!

Sikio la kufa halisikii dawa!

Kama mwezi mmoja baadaye ilipotangazwa kuwa LBL chali group likapoa ghafla. Nadhani wapo wengi wamenaswa huko kimya kimya
 
Back
Top Bottom