Zito bwana,ukiwa wa kwanza huwezi kutuliatu?
Kwani wewe ndio umemuamuru aende? Au wewe ndio unayetoa vibali kwa wanaoenda Ikulu?
Kwanini usiwe wa kwanza kwenda ndio akafuata Mbowe?
Je ingekuaje kama siku alipomuombea Mbowe msamaha angeachiwa kesho yake?
Ndio maana Zito unaitwa Ndumilakuwili
Unao uhakika kuwa yeye aliyasema hayo maneno?Zito bwana,ukiwa wa kwanza huwezi kutuliatu?
Kwani wewe ndio umemuamuru aende? Au wewe ndio unayetoa vibali kwa wanaoenda Ikulu?
Kwanini usiwe wa kwanza kwenda ndio akafuata Mbowe?
Je ingekuaje kama siku alipomuombea Mbowe msamaha angeachiwa kesho yake?
Ndio maana Zito unaitwa Ndumilakuwili
Kwahiyo umeshindwa kabisa kujua hiyo Ni Photoshop?Zito bwana,ukiwa wa kwanza huwezi kutuliatu?
Kwani wewe ndio umemuamuru aende? Au wewe ndio unayetoa vibali kwa wanaoenda Ikulu?
Kwanini usiwe wa kwanza kwenda ndio akafuata Mbowe?
Je ingekuaje kama siku alipomuombea Mbowe msamaha angeachiwa kesho yake?
Ndio maana Zito unaitwa Ndumilakuwili
Unao uhakika kuwa yeye aliyasema hayo maneno?
Kwahiyo umeshindwa kabisa kujua hiyo Ni Photoshop?
Anyway, lazima watu wenye akili kama zenu muwepo ili wajanja wapige PESA.
Wamejitekenya wamecheka wenyewe.
Ukiwa kiongozi inabidi ujifunze kutokujibu kila jambo, Hangaya alishindwa kuwaambia BBC kuwa kwa sasa sina jibu, ninauhakika unajua matokeo ya majibu yake.Ila hajaonekana kukanusha popote mjomba. Au hilo jukumu ndiyo kulibeba sasa?
Yote kheri lakini. Tunajenga nyumba moja.
Ukiwa kiongozi inabidi ujifunze kutokujibu kila jambo, Hangaya alishindwa kuwaambia BBC kuwa kwa sasa sina jibu, ninauhakika unajua matokeo ya majibu yake.
Hio ndio first priority ya Mh Mbowe,Katiba Mpyahzo zilikuwq mbinu za kumchosha mbowe sidhan km ataendelea trna na mambo ya katiba mpya sidhani
hzo zilikuwq mbinu za kumchosha mbowe sidhan km ataendelea trna na mambo ya katiba mpya sidhani