Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutelekeza si kuanguka. Aliwaamini wasioaminika ambao eti nao leo hawaamini:
View attachment 2140800
Hiiiiii bagosha!
Nchi Ngumu HiiKufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini.
Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii.
Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema.
Angalia vituko hivi kujiridhisha:
View attachment 2140500
View attachment 2140501
View attachment 2140502
View attachment 2140503
Yote kheri.
Tunajenga nyumba moja.
Tatizo kubwa Mkuu ni kwamba hatujui waliyoyazunhumza wawili wale kwani Sisi tulichopewa ni sehemu tu ya mazungumzo. Wale watenhenezaji wa kesi na mashahidi bila kuwasahau mashabiki wao lazima hofu iwatawale.