Vituko na Burudani kufuatia kuachiwa kwa Mbowe

Kutelekeza si kuanguka. Aliwaamini wasioaminika ambao eti nao leo hawaamini:

View attachment 2140800

Hiiiiii bagosha!
Nchi Ngumu Hii
 
Tatizo kubwa Mkuu ni kwamba hatujui waliyoyazunhumza wawili wale kwani Sisi tulichopewa ni sehemu tu ya mazungumzo. Wale watenhenezaji wa kesi na mashahidi bila kuwasahau mashabiki wao lazima hofu iwatawale.
 
Walichozungumza ni faragha ila kwetu kwa sababu tunawaamini wao kama viongozi wetu, haitoshi kuzisoma nyuso zao za tabasamu kwa kuanzia au hadi tungekuwa pale kila mmoja wetu kujiridhisha?

Isititoshe si wamesema umuhimu wa maridhiano, mashirikiano, kuongea, haki na Tanzania mpya kwenye taarifa yao ya pamoja kwetu?

Kwani kweli mkuu huoni kuwa tunaondoka huku kwenye anga wenyewe wakiziita zao?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…