Vituko na vimbwanga safarini

hivi madereva wa mabasi wanaipendea nini ile hotel ya singida pale, hasa mabasi ya kanda ya ziwa. nilikutana na mshkaki sijui wa juzi.
 
Your browser is not able to display this video.

miez miwili iliyopita kuna watu walichezea ndoige huko porini.
 
[emoji23][emoji23] Dogo Masta sana huyo, eti Mama nakunya
 
Your browser is not able to display this video.
 
maliasili ipo Kibiti
 
Chuma ya Adventure imetoka Kakonko mama mmoja katafuna menyu mchanganyiko kwenye mgahawa fulani na safari ikaanza. Baadae mama akaomba kuchimba dawa dereva agagoma. Akarudia kuomba mara ya pili wakagoma. Akawapa dakika 5 wasimame wakagoma, basi mama alivua pichu kwenye ngazi za gari akamwaga maji shwaaaaaaaa
 
hiyo kuna mbibi inaonekana aliwaambia abiria wa nyuma kuwa anataka kususu sasa kama mixer wamemwambia hapa tupo mjini haturuhusiwi. bibi kavumilia kashindwa kaja kwa dere kaangua kilio anataka kususu 🤣🤣🤣
 
Nimemaliza kisahani halafu napigiwa honi na kiVolkswagen golf kinaomba njia huku kimeniwashia na taa.
 
hiyo mkuu VW GTI itakuwa 300 kph. mjerumani sio wa kumchezea.
Hicho kigari kinakimbia bwana. Nilikuwa na Gx110 mark2 grande, 180+kph(185-190) rpm 4. Ninauhakika hata ningekuwa na Fortuner nisingekapata kale kadude.

Njia ilikuwa imenyooka lakini kalikuwa kanapotea mbele ya upeo wa macho yangu nakashuhudia.
 
🤣🤣🤣 pole sana kiongozi.
 
Hatari sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…