Vituko na vioja vya wadada wa benki

Safi sana
 
Sijawahi ona bank wastaarab,akili tulivu.weledi wa kazi kama equity.sijutii kwenda kufungua acc pale.
Mikogo na dharau nlizokutana Nazo kwa wanawake wenzangu Kule crdb na nmb sirudi tenaaa!!
Mbona mimi teller hasa wa kike huwa wanizongania, utasikia ukija unyooshe kwangu usiende kwa fulani.
Mnakosea, tengenezeni mazingira, kuna siku nilichelewesha NMB kufungwa kwa nusu saa.
Mlinzi alipewa taarifa na meneja kuwa kuna mteja mwenye jina Mswati umruhusu aingie.
 
Niliwahi dharauliwa na mmoja alikuwa branch Fulani la Sasa akahamia branch la mahali ninako ishi

Mara paap siku akatua ofisinj kwangu akanikuta nikauchuna

Ila alibadilika kitabia sana alikuwa mpole na mtaratibu ikapita Kama nikasikia amefariki (RIP) breast cancer ilimchukua

Maisha Ni mzunguko
 
Utakuwa na mipango ya wizi wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KUNA SHEM WENU YUPO AZIKIWE, ALIKUWA MSTAARABU MNO, ILA MWAKA MMOJA TANGU AANZE KAZI CRDB ALIKUWA NA TABIA MBAYA YA KUBINUA MIDOMO, NIMEWAHI MCHAPA KOFI KAMA MARA 3 HV, AKAACHA HYO TABIA..
Hahahaha Safi sana huwa wanajiona maisha wameyapatia

Wanajikuta Mackenzie bezos
 
No matter what Effective and Satisfactory Customer service ni Muhimu sana achana na Kujuana na walinzi na mambo ya mishahara
Huyu mpaka siku wamipige hela au majambazi wamvamia ndio ataacha urafiki na hao watu
 
ishanikuta kupigwa na mdada,
nilitoa M3,
kanipiga elf 10.
nilifatlia hadi ikarudi,
polen wadada wa benki.
 
Eheee.....nilitaka kuanza kuwachunguza wa hapa counter kumbe hapa ni bar mwee.... sijalewa kiviiiileee... ebu waiter niongeze nyingine ya moto......[emoji481][emoji481][emoji481]
 
Sijawahi ona bank wastaarab,akili tulivu.weledi wa kazi kama equity.sijutii kwenda kufungua acc pale.
Mikogo na dharau nlizokutana Nazo kwa wanawake wenzangu Kule crdb na nmb sirudi tenaaa!!
Nasikia wanawake mnapenda zaidi muhudumiwe na mtumishi wa kiume, sababu wanawake kwa wanawake hawapendani?
 
Hakuna kitu Kama hicho hao wanafanya biashara na mkopo ni haki yako Kama una vigezo.
Hata wao pia Wana shida ya kupata wakopaji ili wajiendeleze bila hivyo watalipana vipi mishahara
Ukisoma michangi ya baadhi ya watu humu utagundua kwanini Tanzania inazalisha machawa wengi hivi. Yaani kupata huduma ambayo ni haki yako hadi ujipendekeze.
 
Ni kwamba wewe kila unapoenda unafahamiana na wahudumu wa bank? Sikia unaweza ukafahamiana na wahudumu lakini haina umuhimu .wahudumu wengi wa bank hawana Customer care huo ndio ukweli wana majibu ya karaha. Na wewe unayesema unafahamika si kwa vile unapata huduma za bank hapo hapo unapoishi let say unaishi Moshi mjini unapata huduma za kibenk Nelson Mandela Nmb watakufahamu ukisafiri ukienda Mwanza utatafuta ufahamike kwanza? Mimi kuna siku nimetoka Moshi nimeenda Dodoma nilivyofika Dom nikaenda Nmb Bank kuchukua fedha kwenye ATM kadi ikamezwa ilibidi kesho yke niende bank kufatilia nikamkuta jamaa flani nikamueleza shida yng akanikalisha muda mrefu sana bila kunisaidia , nilivyoona hivyo ilibidi nimfate mhudumu mwingine huyu alinijibu jibu baya sana
Ilinibid tatizo dogo niende kwa branch manager........
 
They dont know what They are doing.
Sasa hivi tupo kwenye dunia ya ushindani hao bado wanafanya kazi kimazoea utadhani bado tupo kwenye enzi ya Mwalimu Nyerere ya sera ya ujamaa.
Mteja anayekufanya ulipwe mshahara unamuwekea maringo,unamjibu nyodo as if benki iko moja tu Tanzania nzima
 
Ni wababaishaji sana ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…