Vituko na vioja vya wadada wa benki

Huyo ni yule anaepanga foleni masaa mawili kudiposit 10,000 wakati kuna wakala kibao mtaani kwake
 
Go back and read what I wrote again.
 
Sasa ajabu humu mtu anafiki ukienda pale unapoteza muda kutafuta marafiki kumbe inakuja automatically kwasababu unaenda mara kwa mara na watu ni wale wale. Mimi almost tellers wote na bank manager wananijua jina,ila mimi namjus jina mmoja tu.
 
Sasa ajabu humu mtu anafiki ukienda pale unapoteza muda kutafuta marafiki kumbe inakuja automatically kwasababu unaenda mara kwa mara na watu ni wale wale. Mimi almost tellers wote na bank manager wananijua jina,ila mimi namjus jina mmoja tu.
Kufahamiana na watu muhimu sana. kuanzia Bank, Police, Mahakamani na Hospitalini. ukiweza kutengeneza network kwenye taasisi hizo zote...unakuwa salama bin salimin...
 
Wahurumieni tu, wakati mwingine wanakuwa washaingiziwa mishedede na vitu vimetuama kunako

time will tell
 
Sasa mpaka ufahamike ndio upatiwe heshima yako ! Hii haijakaa sawa
Mkuu kufahamiana huku kunakuja na mazoea ya kuonana kila siku na mutual respect. Kuna watu wana nyodo nafikiri umesoma comments humu na ha hao tellers ni binadamu ukiwaletea nyodo nao wanakupotezea tu. Kuwa friendly uone kama watakusumbua. Tumia same technic hata kwa traffic police nakuhakikishia fine utazisikia tu, be friendly.
 
Sijuwi tuanzie wapi?! Kucheza na simu wakati uko kwenye Queue, kujifanya wako busy kwenye PC kumbe wana browse tu au kucheza games, kujizungusha zungusha bila kujali wateja wanasubiri huduma, kuwaongelesha wenzao wakati wanahudumia wateja, majibu yasiyotosheleza sababu wengi hawana vyeti wala kupewa mafunzo ya kibenki, kila kazi ni pole pole kuliko konokono, ni shida kwa kweli, mie bado nina uhakika wengi wao wamesaidiwa tu, kama ndugu, rushwa, rushwa ya K, n.k. Bure kabisa...
 
Chezea nguvu ya maku wewe. Yaani wanasahau kabisa kuwa mteja ndiye anayempeleka msalani coz anajua hata afanye nini boss hasemi lolote maana anapona hapo. Wa CRDB ndio wamezidi mno aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaapa sitafungua account CRDB....kulipia leseni etc kulinionesha hio ni benki ya aina gani.
 
mbona kuna dada crdb mtwara mchaga hivi mweupe ni tellers,she is so kind and honest yaani ni mdada poa sana
 
Hata ukisafiri wanaokuhudumia ni hao hao marafiki zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…