Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
ChattleHuyo jamaa yako nae pimbi... Yaani anaenda kuuluzia majibu ya interview? Wa kolomije nini huyo
Great!Ndio mimi ni mdada ila siwezi kumjibu mtu hovyo wala kumringia ringia mtu
kufahamiana na wahudumu kisiwe kigezo cha kupewa huduma ``first class``....huduma inabidi zitolewe kwa kufuata sheria na taratibu zakazi,kwa hiyo siku ukienda benki nyingine usiyofahamika utaanza kujipendekeza pendekeza ili ufahamike?,hela yangu halafu mtu aniletee pozi,mi siwezi vumilia huo ujinga ,labda ndo maana wanawafungia kwenye vile vi-cube,nahisi hata akili zao zinafungwa (kwa baadhi lkn)Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.Mkuu tutajie jina la hiyo benki tuanzie hapo kwanza.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
Kweli kabisa ni kuchukuliana kibinadamu.Japokua nasisi wateja wakati mwingine tunawakwaza ila wanapaswa tuu kutuchukulia na kutupa huduma nzuri
duuu teh teh teh aise ila wamezidi sana ukikaa vibaya wana kutapeli kabisa.***** mmenikumbusha miaka ya nyuma hivi.
Niliingia benki moja nikaenda kwenye dirisha la maulizo,
Mungu wangu nilivojibiwa kuhusu kufungua akaunti, niliambiwa subiri, kweli asee ilikuwa subiri ya maana.
Nikasema poa na utu uzima wangu huu huyu mtoto ananichezea akili??
Nikachukua ki begi nikaingia kwa meneja, nikamwambia bwana nina vijihela hapa, nataka kufungua akaunti,
Akaniambia umeenda maulizo??
Nikamjibu ndio toka saa tatu mpaka sasa saa sita nimeambiwa nisyubiri au kwa kuwa mi sina suti??
Asee meneja akanifungulia nikaweka mzigo wangu, mwisho akaniahidi atalifanyia kazi na aliniomba radhi kiukweli.
Nilichoshangaa siku moja yule dada alinikuta offucine anatafuta kazi akanipa nyaraka zake, nikaamuambia nitampa taarifa aje kwenye usaili
Mungu anisamehe nilimpa taarifa kuwa anatakiwa aje kwenye usaili siku mbili baada ya usaili wenyewe.
Aliumia mnoo lakini nilishatubu asee, mi hata madirishani siku hizi siingii aseee
Uko sahihi mkuu,hebu fikiria hata muhudumu wa bar!!!jamani hebu katizeni hapo Kenya muone tofauti iliyopo shida kubwa ninayoiona ni elimu na kupata kazi hiyo kwa mgongo wa ndugu,rafiki na mapenzi pia.Kwa Tanzania mteja ni fala c bank c bar c mgahawani kokote hovyo 90%
Sio wa kuwachekea, ndio maana mi nikifika hua nafuata utaratibu, nikimaliza wajibu wangu akijichanganya tuu mi hua nauzunguka mlango naenda kwa bosiduuu teh teh teh aise ila wamezidi sana ukikaa vibaya wana kutapeli kabisa.
Hakuna mapenzu, wengi ngono mkuuUko sahihi mkuu,hebu fikiria hata muhudumu wa bar!!!jamani hebu katizeni hapo Kenya muone tofauti iliyopo shida kubwa ninayoiona ni elimu na kupata kazi hiyo kwa mgongo wa ndugu,rafiki na mapenzi pia.
Hii inaitwa jaza ujazwe sasa.***** mmenikumbusha miaka ya nyuma hivi.