Vituko na vioja vya wadada wa benki

Katika mwezi mzima lazma kuna siku kama 5 hivi ambazo mwanamke anakuwa off mood kwa hiyo msikasirike wakuu.Wachukulie kama walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakudharau kama unadeposit au withdraw vishilingi mbili embu ingia bulk kama hawajakutetemekea mpaka na soda unapewa.
 
Hamna cha kujichoresha wala nini mimi nahesabia pale pale.
 
Kwa ujumla wadada ni wa kuwachukulia kama walivyo tegemea usichotegemea toka kwao, mungu alishamalizana nao kitaaaambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alivyo umba, mwanamke alimpa roho ya ajabu sana inabidi kuwavumilia tuuu. Anaweza akakutukana matusi ya ajabu baada ya siku chache anakuomba msamaha na anataka uwe nae katika kumsaidia kimaisha ingawa alishakuonyesha dharau kubwa. Mfano mzuri ukitaka kujua wanawake watu wa ajabu. Muwe mnafanya kazi wewe unapata mshahara na yeye anapata mshahara lakini pesa yake aiwezi kuonekana hata kidogo na mizinga na majungu anakupiga pia
 
UKWELI WANAWAKE KATIKA OFFISI ZOTE SI WAFANYAKAZI KURINGA SANA KUCHATI HAWAJALI MTEJA KUNA TAJIRI MMOJA MUASIA YEYE ALINIAMBIA UKITAKA BIASHARA YAKO UENDELEE USIAJIRI MWANAMKE KAMA NI OFISINI KIWANDANI DUKANI NA SEHEMU YOYOTE USIWEKE WANAWAKE UTAONA MAENDELEO
 
Kwa uzoefu wangu wale wa NBC hawako hivyo hasa katika kutoa huduma za kibenki.
 
inategemea na bank uliyoenda... na benk ilipo
 
Point mkuu!!!, yote uliyozungumza nimeyashuhudia, la kwanza hilo la kutukanwa, kuna kademu cha kimbulu nilikuwa nacho kuna siku kakanitukana balaa kwenye simu, mm nikakaa kimya sikumjibu chochote kesho yake ananiomba msamaha huko akiomba aje ghetto nimdinye, na alivyokuwa na mkia sikumkatilia nikamwambia njoo mama ila moyoni mwangu nilishamtoa thamani.

Tukio la pili kuna jamaa tunafanya naye kazi ana mke yuko bank NMB, mke anamzidi jamaa mshahara ila mpaka pesa ya mafuta ya gari analoendea kazini mke jamaa anatoa, kiufupi mke pesa yake jamaa hajui anafanyia nn. Majukumu yote ya ndani, ada za watoto nk jamaa ndio anawajibika, basi ukimkuta mshikaji anahadithia anatia huruma sana wakati mwingine huwa anajuta kuoa huyu demu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole bwana mdogo,Ila account yako ukiwa na mzigo wa kutosha huwa wanajichekesha tu utapenda,lakini kama ndo unaenda kuulizia mshahara wangu vipi umeingia subiri jibu lake.
 
Kuna wengine wanafanya,kazi wasioipenda , mimi nimefanya nao kazi na nimekwishawahi kuwa teller ,sometimes kazi za mule zinachosha na ku bore, unapewa dakika 10 za kula chakula ,na unapewa target za kufa mtu , so uvumilivu kwa wengine mdogo, anakuwa na frastruation za majukumu ,ukikose a ka kitu kadogo anakuza .

pia wengine ni hulka zao na vijitabia, wanaona kama wametoboa kumbe ni watunza fedha tu...
 
Safi sana mm Pia nilikuwa tz huko mwaka Jana,nipo nmb eneo x kidada kikawa kinanijibu jeuri nilikipaka hatari nikakiambia ngoja niende tawi jingine wewe Ni mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…