Vituko na vioja vya wadada wa benki

Kwa hiyo mkuu assume Mimi ni mteja wa siku nyingi wa nmb au nbc lkn huwa naenda mara chache tu kuchukua pesa ukiingia mshahara na mara nyingi natolea kwenye Atm.
Kwa mazingira Kama hayo atanijua Nani benki?
Wanaojulikana ni wale wanapeleka mizigo ya maana ya pesa labda kila mwezi milioni 500 huko lakini sio kwa watu wenye vimshahara vya laki 6 vinavyopitia benki.
 
Be friendly. Kuwa muungwana na wengine watakufanyia uungwana. It wont cost you an arm and a leg.
 
Be friendly. Kuwa muungwana na wengine watakufanyia uungwana. It wont cost you an arm and a leg.
Kwa hiyo mkuu unataka watu wapoteze muda kuanza kujipendekeza na kumzoea kila muhudumu wa benki huoni hiyo ni biashara ya kizamani sana.
Wewe ukianzisha biashara kuwa fair kwa kila mteja as long as unahitaji pesa yake.
Hakuna sababu ya msingi ya kuanza kuchagua kwamba ni mteja gani anakuchangamkia na yupi hakuchangamkii.
 
Jesus! Kuwa friendly sio kujipendekeza. Kuwa muungwana tu hamna aliekwambia umzoee au ujipendekeze. Vitu vingine unaongea wewe sio mimi.
 

teh...teh!! teh!! mwambie huyo jamaa yako akome
 

kwa akili hizi halafu tukiwapa kazi wakenya mnaanza kulia lia!! ***** kwenye kampuni yako mswahili ataishia kuwa mlinzi tu.
 
Nilienda kuhudumiwa huku mzungu mwanaume akiwa nyuma yangu, muda wote mhudumu katulia nilipofika kaniambia mpishe kwanza huyo mzungu alafu utafuata. Nilimpisha ila nilikasirika sana. Baada ya kunihudumia nikashukuru kwa sauti kubwa " Asante kwa Customer care nzuri " hakuitikia ila alibaki ananiangalia tu.
 
Jesus! Kuwa friendly sio kujipendekeza. Kuwa muungwana tu hamna aliekwambia umzoee au ujipendekeze. Vitu vingine unaongea wewe sio mimi.
Sasa mkuu watu wako bize na shughuli zao unataka wapoteze muda kuanza kuongeaongea na watu wa benki ili aonekane muungwana.
Au kuwa muungwana umemaanisha ni kufanyaje labda?
Maana mtu Kama Hana hiyo tabia ya uungwana katika maisha yake yote,kwa nini ajilazimishe au aigize uungwana akiingia benki tu?
 
Kwa sasa wananyooka, tena wameanza kuwa wezi... ukizubaa tu wanakupiga bila aibu... anahesabu pesa na kudondosha moja.... hawana nyimbooo... zilipendwaaa
Inawezekana kumbe daah! Basi kimdada cha crdb kishawai nipiga 20k
 
Aisee wewe una moyo.
Ingekuwa ni Mimi nisingempisha na pangechimbika na angemuita meneja wake ajieleze alitumia criteria gani ya kumhudumia mzungu halafu aniache Mimi.
 
wa tawi gni
Tawi sisemi hapa ila mkoa ni Arusha
Alinambia eti mbona hela hazijatimia na ulizoandika hapa!
Ikabidi nirudi kwa aliyeniagiza, ila nahisi basi na ye alidondosha mana zilikuwa ni noti 116 za 5k afu akapunguza 4 daaah
 
Kwakweli mi NBC X nilikuwaga naenda tu napata huduma narudi bila kuwa na connection yoyote by then nilikuwa mjamzito, baada ya kujifungua ikapita muda sijaenda.
Siku nilivyoenda nilishangaa sana na nilivyochangamkiwa na kupata huduma ya haraka wakisema niwahi kwa mtoto
 
 
Tawi sisemi hapa ila mkoa ni Arusha
Alinambia eti mbona hela hazijatimia na ulizoandika hapa!
Ikabidi nirudi kwa aliyeniagiza, ila nahisi basi na ye alidondosha mana zilikuwa ni noti 116 za 5k afu akapunguza 4 daaah
naomba number yake??..vp ana tako kubwa
 
Sio wanawake tu wa Bank bali hadi wanaume.

Kuna siku nimeenda kuapply loan CRDB,nikakutana na dogo mmoja basi sababu na mimi mbali na ukongwe lakini kimuonekano naonekana chalii tu basi akawa ananiletea upuuzi kibao mara nikiuliza kitu asinijibu mara ajifanye yuko busy na simu ili mradi tu nionekane si lolote kwake..

Baadae akaniambia nisubmit salary slip yangu,siku nimepeleka mbona akaanza kunishobokea na huduma ikabadilika.Naamini alijiona mjinga flani tu mbali na shati/suruali zake zilizonyooshwa vizuri kama anaatii amri ya Bashite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…