mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Kwa hiyo mkuu assume Mimi ni mteja wa siku nyingi wa nmb au nbc lkn huwa naenda mara chache tu kuchukua pesa ukiingia mshahara na mara nyingi natolea kwenye Atm.Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Kwa mazingira Kama hayo atanijua Nani benki?
Wanaojulikana ni wale wanapeleka mizigo ya maana ya pesa labda kila mwezi milioni 500 huko lakini sio kwa watu wenye vimshahara vya laki 6 vinavyopitia benki.