Vituko na vioja vya wadada wa benki

Wale jamaa ndivyo walivyo hujiona Wana maisha mazuri sana kumbe hawana mbele wala nyuma.
Huwa wanakariri kwa kumuangalia mtu physically kumbe hawajui watu wengine hawapendi promo.
 
Kama ni mfanyabihashara na mikopo unachukua bank husika lazima uwe na urafiki nao. Bila ivyo kufanikisha ishu za mikopo inakuwa ngumu sana,
 
Wale jamaa ndivyo walivyo hujiona Wana maisha mazuri sana kumbe hawana mbele wala nyuma.
Huwa wanakariri kwa kumuangalia mtu physically kumbe hawajui watu wengine hawapendi promo.
Ila kwa kupendeza tu hawajambo,jamaa wana nyoosha nguo acha kabisa.

Na mabinti hushoboka nao wakidhani yaliyomo yamo kumbe apeche alolo.
 
Kama ni mfanyabihashara na mikopo unachukua bank husika lazima uwe na urafiki nao. Bila ivyo kufanikisha ishu za mikopo inakuwa ngumu sana,
Hakuna kitu Kama hicho hao wanafanya biashara na mkopo ni haki yako Kama una vigezo.
Hata wao pia Wana shida ya kupata wakopaji ili wajiendeleze bila hivyo watalipana vipi mishahara
 
wanawake tanzania sio wachapa kazi wavivu sana saa zote kwenye simu na kufikiriia luch basi huduma wanazotoa ni mbovu ukimweka reception ni ovyo hawafai kuajiriwa
 
Kufahamiana na watu muhimu sana. kuanzia Bank, Police, Mahakamani na Hospitalini. ukiweza kutengeneza network kwenye taasisi hizo zote...unakuwa salama bin salimin...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sasa watu wa benki Wana umuhimu wakati Mimi ndio nawapelekea pesa zangu hao wanazalishia.
Halaf Kama hao polisi uliowataja ndio wanafki kweli kweli sitaki mazoea nao kabisa.
Labda kidogo daktar ndio mtu muhimu hapo kujenga naye urafki kwa sababu mtoto wako anaweza akaumwa ghafla usiku wa manane na yeye muda wake wa kazi umeisha na ameshalala itahitaji nguvu kubwa sana kumuamsha amuache mkewe kwa ajili yako.
Kuwa salama ni kuzipata pesa tu marafiki watajitokeza wenyewe automatically.
Wewe hushangai akina Mo,Azam wewe unawajua lkn wao hawakujui kabisa.
 
Ata awe na nyodo vip...atabaki kushika hela za watu ilhali nyumbani kaacha matatizo lukuki...pesa zenyewe hana anaishia kushika za watu ila hii kazi nyie acheni....just imagine una madeni kibao mtaani alaf mamilioni haya apa unachezea tu..kuiba ata senti huwezi....
 
crdb na nmb kwanini mnaona foleni ndefu vyumba vipo 5 lakini zote tupu wanaohudumia ni vyumba viwili tu au kimoja huwa wanaenda wapi . ijue sifa ya mtanzania ni kusumbuana bila kukusumbua huyo sio mtanzania nenda uhamiaji utasumbuliwa nenda ardhi utasumbuliwa na tra hivyohivyo nenda idara yoyote ya serikali lazima usumbuke hata makampuni ya watu binafsi wanasumbua ndio tabia yetu tuliorithi
 
Yaani wewe jamaa una akili Kama zangu.
Huyo jamaa nimemwambia hvyo hvyo ila mbishi kuelewa.
Mimi mwenyewe muda wa kupiga simu hata kwa ndugu zangu nakosa bundle zangu za dakika huwa zina expire tu kila siku zinakosa matumizi.
Halaf nipoteze muda kumshobokea mtu wa benki na pesa ni zangu mwenyewe sijapewa msaada.
Kupewa huduma nzuri ni haki yangu haijalishi nimewazoea au sijawazoea.
Kwa sababu pesa zetu ndio zinawaweka mjini Kama sisi ndio tuna shida sana Basi wafunge benki yao tuone Nani atapata hasara.
Eti mwingine anajipa hasara ya kuwatoa out eti ili apendelewe kwenye huduma za kuweka pesa yake mwenyewe.
Poor Tanzanians!!!
 
Unajua umeniboa mkuu
Kwa nini ulimpisha sasa ungekomaa ukakaa pale pale
 
Itakuwa akaunti yako haina pesa, hawa wakiona unavijisenti acha kabisa.
Mimi nina kawaida nikifika benk flani lazina niwe na mtu wa kunihudumia kwa haraka, lkn siku moja nilimkuta anayenihudumia kila siku anebanwa na akanielekeza kwa meingine...kitendo cha kunihudumia nikampa 10k alisema nakuomba usipitie kwa mtu mwingine uwe unakuha kwangu moja kwa moja eee..na basamu juu kabisa.
 
Tatizo lako wewe hujawahi kusafili, kuazia ulipo fungua akaunti unahudumiwa na tawi hilohilo hadi unazeekee hapo,je kwa sisi wafanyabiashara tunaosafili mikoa mitatu ndani ya wiki moja,unakutana na wahudumu wa matawi tofauti tofauti,hapo mleta uzi alitaka kueleweshwa.
 
hyo tips ni rushwa! kwa kifupi we unahonga ili update Huduma nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusafili=kusafiri
Unaamini kabisa sijawahi kusafiri? Hongera.
 
Mteja ni Mteja tu ndio maana wahudumu wanapigwa Shule na Kuna Ethics za Kazi kila Kada na Ethics zake ulisha wai ona Mteja akifundishwa namna ya kutaka huduma?

sasa we nnacho ona apa unaleta blah blah na kujisifia unafahamiana sijui mpaka na Walinzi What for now?

Mteja mmoja (unsatisfied) tu anatosha kukuharibia biashara ambayo una (satisfied customers 100) ukawapoteza wote hata kama walikua wanafamiana na wafanyakazi wa Kampuni yako + Babu yake Branch Manager na CEO

All in All Tz hatuna Customer Services in Most of Cases Ukweli ndio uo watu wanajishaua wakat nshahara wenyewe laki tano
 
Hata wewe unachoandika hapa naona blah blah na kuleta dharau za mishahara ya watu. Wewe vipi unalipwa bilioni kwa mwezi?
 
Wewe kila siku unatumia huduma za branch hiyo hiyo moja?

Mataga mkubwa we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…