mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Wale jamaa ndivyo walivyo hujiona Wana maisha mazuri sana kumbe hawana mbele wala nyuma.Sio wanawake tu wa Bank bali hadi wanaume.
Kuna siku nimeenda kuapply loan CRDB,nikakutana na dogo mmoja basi sababu na mimi mbali na ukongwe lakini kimuonekano naonekana chalii tu basi akawa ananiletea upuuzi kibao mara nikiuliza kitu asinijibu mara ajifanye yuko busy na simu ili mradi tu nionekane si lolote kwake..
Baadae akaniambia nisubmit salary slip yangu,siku nimepeleka mbona akaanza kunishobokea na huduma ikabadilika.Naamini alijiona mjinga flani tu mbali na shati/suruali zake zilizonyooshwa vizuri kama anaatii amri ya Bashite.
Huwa wanakariri kwa kumuangalia mtu physically kumbe hawajui watu wengine hawapendi promo.