Vituko ndani ya JamiiForums

Giresi?
 
HAHAHAH Kikoozi mwanafunzi wa UDOM kumbe?

WAKUU MSOMENI HUYU NIMEWALETEA MUMJUE KIDOGO MAANA HUU UZI UNAMHUSU 100%












Umechaguliwa chuo cha kata umefurahi kweli ww hamnazo kabisaaaaaaa


Karibu sana dodoma me ndo nipo pale baada ya kusoma statistic na kuona sina kazi now nasoma information system security hapa udom
 
Jana miss natafuta alitoa uzi mtoto wake hapati haja kubwa

Kisha akaleta uzi mwingine anatafuta mume na kwamba hajawahi kuzaa so money penny akampa ushauri huo mambo yakawa motroooo majibu kwa majibu mapigo kwa mapigo mpaka uzi ukafutwa
Hehehehe Money p ni chizi kaanza elimisha watu tena humu na sio kutuletea story zake zile za money penny ni nanii
Kwa hiyo money penny alimshauri nini yaan uzi wake ulihusu nini?
 
Au ya mwanaume kujifanya mwanamke woiii kuna mwanaume ananishangaza sana humu jamani yaan mpaka kwa profile aliandika mwanaume ma avatar alikuwa anaweka mwanaume mpaka mathreads yake

Eti sasa hivi kawa mwanamke ghafla I'd ile ile kilichobadirika sasa hivi ma avatar ya kike tena ya ushungi na akiona thread za wanaume anajibebisha tena wanaume wa jf bwana ngachokaaa shunie mm hivi nyie mnaobadirika badirika ni kwamba mnatuonea wivu sisi kuwa wanawake au ndio style yenu ya kuwapiga wanaume wakware pm huko
 
Ukiitaja usisahau kuniita unajua sisi amabao sio wahenga humu tunatakiwa tujue mambo za wahenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…