Vituko ndani ya JamiiForums

Jana miss natafuta alitoa uzi mtoto wake hapati haja kubwa

Kisha akaleta uzi mwingine anatafuta mume na kwamba hajawahi kuzaa so money penny akampa ushauri huo mambo yakawa motroooo majibu kwa majibu mapigo kwa mapigo mpaka uzi ukafutwa
Hahahahah money p hakuambiwa ana wivu maana ukisema kitu humu unaonekana una wivu ,,my baby ananiweka busy mpaka napitwa ubuyu lo
 
Hahahaha jamani ebu endelea basi ikawaje sasa akabadili I'd babu jamani mchepuko wa dada angu sakayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jicheked tu Jolie wangu ni vinachekesha au kama leo shunie mm niamue kuweka ma avatar ya kiume ila I'd hii ya shunie halaf nianze kujifanya mwanaume hakiiii sitaweza
Halafu unaanza kutuletea nyuzi za umemfumania mkeo anagegedwa kwenye sofa zako hahaa haki ntacheka kicheko mpka mtaa wa tatu wasikie
 
Halafu unaanza kutuletea nyuzi za umemfumania mkeo anagegedwa kwenye sofa zako hahaa haki ntacheka kicheko mpka mtaa wa tatu wasikie
Ewaaaaa hivyo hivyo au jaman wanaume wenzangu naomba mnisaidie shemeji yenu analalamika nawahi haraka kukojoa khaaaaa watu wanayaweza ndio ya huyo mkaka dada tena me nilikuwa naelewana nae sababu ya thread zake anazoleta za mastory sasa hivi nabaki kumshangaa tu kuna siku nilimquote kwahiyo umeshabadirika jinsia umeshakuwa mwanamke tena hajanijibu nikamwambia ni jf pekee wanaume wanabadirika jinsia tokana na mazingira
 
Mjukuu wa chifu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…