Vituko ndani ya JamiiForums

Hahaha na wengine wanabadilika jinsia kutokana na post,post nyingine utamkuta ni mwanamke,ukienda nyingine ni mwanaume
Bora yule anaejiitaga sexless
 
Yaan mjukuu wa chifu ananishangaza sana kipindi yupo mwanaume alikuwa mshkaji wangu sana nilikuwa nafatilia sana thread zake toka awe mwanamke ushkaji umeisha hata nikimuuliza kwahiyo umebadilika jinsia hanijibu kabisa
Jamaa alikua ana mastori ya kibabe sanah, nashangaa siku hizi au wamemnaniiii
 
Kuna mtu aliwahi sema husband material ni wanajeshi sasa sijui yule braza ni Mjeda?
 
Kwa jinsi member wa jf wanavyobadilika,sitashangaa siku mshana Jr akisema yeye ni mchungaji na akilalamika humu sadaka zimepungua kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…