Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniambie sasa mbona we na jestkilla uhandishi tofauti jestkilla hatakagi ujinga kabisa
Kama mimi nilivyozushiwa na mdada mmoja kuwa ile ya mamiake ni yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilivyo msahaulifu hivi naanzaje kumanage account mbili
 
Kama mimi nilivyozushiwa na mdada mmoja kuwa ile ya mamiake ni yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilivyo msahaulifu hivi naanzaje kumanage account mbili
Kuna kipindi nilitest zali nikafungua Id ya kiume
Nikaweka thread ya kutafuta mchumba

Wallah pm ilifurika,
Kisanga sasa,siku moja nataka nipm na Id ya siku zote sijui ikawaje nikajikuta nimecomment na ile ya kiume...
Nilivyolog out mpaka leo sikumbuki hata jina la ile Id.
 
Back
Top Bottom