ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
nishapoa
Pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana.
kibongobongo wenzio wamelal saa hii aaah kwa vile wewe .......[emoji85] [emoji125]Kumeshakucha Ukhuty.
HahahahaSasa hivi kawa ke mpaka kwa profile kaandika ni mwanamke
Gilesi ndio nanMim sasa nkaanza kuwahadthia watu hata hawaijui jf,walicheka tu lkn naona walicheka kunsapot tu sidhan kama wamenielewa na gilesi wetu
Pole sana kama umekosa uhondo wa Gilesi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gilesi ndio nan
Dah naomba link ya uzi kama bado upo nikshuhudiePole sana kama umekosa uhondo wa Gilesi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nyie wanaume wenzet mnaaokula nauli zetu hamuoni aibu, jibaba zima unabadili mapozi ili utumiwe nauli
Kaka we soma tu comments zoteGilesi ndio nan
Usitume tenaHivi nyie wanaume wenzet mnaaokula nauli zetu hamuoni aibu, jibaba zima unabadili mapozi ili utumiwe nauli
hahahahaha aiseeee em hayaAsante wakunyumba [emoji8][emoji8] mwenyewe kuna lijitu liliniudhi hapa eti na I'd mbili
Acha umbeaAlikuwa nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku niliposti watu wakachomoa betri