Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
JamiiForums ni sehemu ambapo tunapata habari, tunaelimika, tunaburudika na hata stress wakati mwingine. Pamoja na faida zote na hasara hizo ila baadhi ya member wana vituko na kubadirika kama vinyonga.
Leo utasikia mtu anamshukuru mungu kwa kupata watoto mapacha kesho anakwambia ana bikira, leo utasikia mtu akilalimika picha za mke wake zimerushwa mitandaoni kesho unasikia anatafuta mume, leo utasikia mtu mwanae anaumwa kesho anakwambia hajawahi zaa toka azaliwe..
Leo analalamika wanaume wote aliowapata sio waaminifu kesho hajawahi tongozwa tokea avunje ungo basi ili mradi vituko juu ya vituko..
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀