glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Hahahha.Aiseeee......[emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi aki....[emoji47] [emoji47]
We nae lini utalifunga hilo domo lako.
Kila SAA liko wazii???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha.Aiseeee......[emoji45] [emoji45]
Mdomo wangu umebaki wazi aki....[emoji47] [emoji47]
Nitashukuru kweli nicheke. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui kwanini wanadanganya jinsia zao. Au ndo walikua wanataka kudaka wakosoajiAkija hapa nitam-quote na nitaku-tag
Id yake yenyewe imekaa kike kike sana. Ila alivyoulizwa akasema ye me.Labda ana jinsia mbili
upo [emoji15]Jf haijawahi isha visanga.
Haswa Weekend lol.
Kwamba hakua demu?Kuna mmoja demu alinipa namba yake pm,topic zake zote utata kama Miss Natafuta baadae nikajua real identity yake. Mpaka leo nikimsoa huwa nastaajabu sana
Hukutuma mkwanja lakini 😀😀😀😀😀Kuna mmoja demu alinipa namba yake pm,topic zake zote utata kama Miss Natafuta baadae nikajua real identity yake. Mpaka leo nikimsoa huwa nastaajabu sana
Hahahaaa. [emoji85] [emoji85]upo [emoji15]
AhahaaaMtoto wa miezi sita anakunya jumapili kwa jumapili hapo hapo unatafuta mzee mzee.
Pambana na mtoto kwanza uyoo mzee utamtafuta baadae
Mnajadili siasa pm.nyie ni wahaini ama nini?Nakumbuka Kuna Limjamaa lilikuja pm mwaka Juzi
Tukajadili mambo ya kisiasa
Ajab Jana napitia pm nakuta Ni I'd ya kike
Naangalia anavyojibebisha kwa madume nabaki nacheka tu
Mkuu topic zangu zina utata gani? Mbona zipo open kabisa?Kuna mmoja demu alinipa namba yake pm,topic zake zote utata kama Miss Natafuta baadae nikajua real identity yake. Mpaka leo nikimsoa huwa nastaajabu sana
Nilimtongoza akaingia king,akaniomba nimtumie nauli toka akanipa namba yake....nikaona issue imekuwa serious nikasepaHukutuma mkwanja lakini 😀😀😀😀😀
Ni Nabii na mtume mbona kitamboSiku baada ya siku utaskia mshana jr ni mchungajii
Mnatumaga nauli za nini Mkuu?Nilimtongoza akaingia king,akaniomba nimtumie nauli toka akanipa namba yake....nikaona issue imekuwa serious nikasepa