Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Kuna mtu humu anaitwa Giresi aliwahi kuja na uzi ana makalio makubwa mpaka anashindwa kutembea!Uzi ukafika page 200+ Moderator wakiwa kwenye zoezi la kuunga multiple ID ile ID ya uzi ikaungwa na mwanaume mmoja star sana humu JF

Bujibuji alimmaindi sana huyo mleta uzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ana makalio makubwa adi anashindwa kutembea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JamiiForums ni sehemu ambapo tunapata habari, tunaelimika, tunaburudika na hata stress wakati mwingine. Pamoja na faida zote na hasara hizo ila baadhi ya member wana vituko na kubadirika kama vinyonga.

Leo utasikia mtu anamshukuru mungu kwa kupata watoto mapacha kesho anakwambia ana bikira, leo utasikia mtu akilalimika picha za mke wake zimerushwa mitandaoni kesho unasikia anatafuta mume, leo utasikia mtu mwanae anaumwa kesho anakwambia hajawahi zaa toka azaliwe..

Leo analalamika wanaume wote aliowapata sio waaminifu kesho hajawahi tongozwa tokea avunje ungo basi ili mradi vituko juu ya vituko..

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

CC:Miss Natafuta![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom