Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Hahahhaha nipo hapa halaf kwa nini wewe na hearly sipati notification zenu yaan mpaka niingie kwa thread ndio najua mmeniquote ebu badirisheni jamani hiko mlichoweka
Hahahh hata najua me mwenyew nyuzi zangu siletewi notification zake!..
Hivi unajua babu wa warembo kabla ya ujanja alikuwa anaitwa Chrispin?. Naona unanitafutia kufukuliwa makaburi yangu buree!!.. Mtafute hearly atakusaidia fukua makaburi mie niache!!
 
Ila member's wa humu uongo walionao sijui hata kama shetani anawahitaji!!!

Kuna mwingine alileta uzi hapa akidai amemaliza masomo yake nchini China mda kurudi nyumbani Tz umefika akadai a nahitaji binti wa kula naye bata hapa bongo!!!

Kurudi kufatilia nyuzi zake za nyuma miezi michache alisema anaishi dar mazense tena alileta kisa cha yeye na mke wake, nikajiuliza huu uongo ni kwa faida ya nani!!!!!!
 
Unanisema mimi eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje kama nakusema wewe lakini? Ndio nlikua nakusema wewe
 
Kuna siku nilifatiria uzi fulani sasa mtu wa kwanza kucomment akawa Bujibuji lakini ukienda comment ya 4 hivi mwingine akawa kamquote buji sasa tatizo hiyo quote imeandikwa Mama jj badala ya Buji nikaona haya macho na vyuma hivi isije ikawa grease yake imeisha yameshindwa kusoma vizuri!..
Lakini buji alikuwa ana Id fulani nikiikumbuka ntaitaja!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au ya mwanaume kujifanya mwanamke woiii kuna mwanaume ananishangaza sana humu jamani yaan mpaka kwa profile aliandika mwanaume ma avatar alikuwa anaweka mwanaume mpaka mathreads yake

Eti sasa hivi kawa mwanamke ghafla I'd ile ile kilichobadirika sasa hivi ma avatar ya kike tena ya ushungi na akiona thread za wanaume anajibebisha tena wanaume wa jf bwana ngachokaaa shunie mm hivi nyie mnaobadirika badirika ni kwamba mnatuonea wivu sisi kuwa wanawake au ndio style yenu ya kuwapiga wanaume wakware pm huko
Naomba ubuyu wa huyo kule kwa kijani shoga angu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje kama nakusema wewe lakini? Ndio nlikua nakusema wewe
Nimeona sehemu nyingi tu ukinishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni ke siku ile nilikuwa najoke tu na Nokia83 kwa sababu ananijua alafu anauliza mimi ke au me ndo maana nikamjibu vile wakwetu.
 
Hahahh hata najua me mwenyew nyuzi zangu siletewi notification zake!..
Hivi unajua babu wa warembo kabla ya ujanja alikuwa anaitwa Chrispin?. Naona unanitafutia kufukuliwa makaburi yangu buree!!.. Mtafute hearly atakusaidia fukua makaburi mie niache!!
Uko vizuri kwenye kufukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom