Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Hapa JF Ukiwa serious sana utakufa siku sio zako, nakumbuka kuna thread wakati Shunie kasahau kulog out kwenye ile account yake ingine ndo nikagundua humu niwe natapika tu na kupita ivi..
 
Ila member's wa humu uongo walionao sijui hata kama shetani anawahitaji!!!

Kuna mwingine alileta uzi hapa akidai amemaliza masomo yake nchini China mda kurudi nyumbani Tz umefika akadai a nahitaji binti wa kula naye bata hapa bongo!!!

Kurudi kufatilia nyuzi zake za nyuma miezi michache alisema anaishi dar mazense tena alileta kisa cha yeye na mke wake, nikajiuliza huu uongo ni kwa faida ya nani!!!!!!
Labda Manzese ya China
 
Jeuri ya kuwa nyuma ya keyboard.

Wagumu kufikiria na wepesi wa kusahau.
 
Back
Top Bottom