Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Hahahh hata najua me mwenyew nyuzi zangu siletewi notification zake!..
Hivi unajua babu wa warembo kabla ya ujanja alikuwa anaitwa Chrispin?. Naona unanitafutia kufukuliwa makaburi yangu buree!!.. Mtafute hearly atakusaidia fukua makaburi mie niache!!
hahaaa nyie mnataka notification zangu za nini ....hebu pambaneni na hali zenu aiseee..""

kuhusu babu CRISPIN hapana aisee hapo sitii neno "" wajua pakiwa na mtu anayekupa jaeuri hapa mjini yatakiwa ugeuke mbwa kwa mfugaji eehhh"" aiseee msinihatarishie kibarua changu wakuu
 
Au ya mwanaume kujifanya mwanamke woiii kuna mwanaume ananishangaza sana humu jamani yaan mpaka kwa profile aliandika mwanaume ma avatar alikuwa anaweka mwanaume mpaka mathreads yake

Eti sasa hivi kawa mwanamke ghafla I'd ile ile kilichobadirika sasa hivi ma avatar ya kike tena ya ushungi na akiona thread za wanaume anajibebisha tena wanaume wa jf bwana ngachokaaa shunie mm hivi nyie mnaobadirika badirika ni kwamba mnatuonea wivu sisi kuwa wanawake au ndio style yenu ya kuwapiga wanaume wakware pm huko
Ninong'oneze basi...
 
hahaaa nyie mnataka notification zangu za nini ....hebu pambaneni na hali zenu aiseee..""

kuhusu babu CRISPIN hapana aisee hapo sitii neno "" wajua pakiwa na mtu anayekupa jaeuri hapa mjini yatakiwa ugeuke mbwa kwa mfugaji eehhh"" aiseee msinihatarishie kibarua changu wakuu
Hahaha!!...ndio nani huyo crispin mkuu!?..
 
Back
Top Bottom