Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Uje tena tupigane..Ndiyo[emoji3][emoji3]
Wewe nawe mama akaamua akuache akili ikae sawa.. 😂😂Nilikua kama na miaka 6 sita, tulikua home chumbani kwa mama alikua na mtoto mchanga, Mara ghafla tetemeko kubwa mpaka unaskia vitu ndani kama vinasogea hivi, sasa sijui ikawaje mama anafight tukimbilie nje, Mimi nikatoka speed mpaka mlangoni nikafunga na funguo afu nikazuia mlango,yaani kama nazuia kitu kinachotaka kuingia ndani[emoji3] [emoji3] ,mama akanivuta pembeni eti pishaa huko nitoke na mwanangu kama wee unabaki shauri yako, ndyo nami nikatoka speed nje, nilijua tetemeko huwa linaingia ndani dah
[emoji849][emoji126][emoji126]Uje tena tupigane..
Ila saivi tutapigana mapigo yasiyoumizaaaa[emoji23]
😂🤣🤣🤣 Mbavu zangu leo zinachomoka. !!Nilikua kama na miaka 6 sita, tulikua home chumbani kwa mama alikua na mtoto mchanga, Mara ghafla tetemeko kubwa mpaka unaskia vitu ndani kama vinasogea hivi, sasa sijui ikawaje mama anafight tukimbilie nje, Mimi nikatoka speed mpaka mlangoni nikafunga na funguo afu nikazuia mlango,yaani kama nazuia kitu kinachotaka kuingia ndani[emoji3] [emoji3] ,mama akanivuta pembeni eti pishaa huko nitoke na mwanangu kama wee unabaki shauri yako, ndyo nami nikatoka speed nje, nilijua tetemeko huwa linaingia ndani dah
[emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatarii
Na ilinikaa sawa kweli maana, nilivoona anakimbia ndyo nikaelewa hii hatari[emoji3] nikachomoka pia ,baadaye mama anawasimulia wenzie nilichomfanyia wananichekaa[emoji3]Wewe nawe mama akaamua akuache akili ikae sawa.. [emoji23][emoji23]
Utoto huu, acha tu mkuu kuna siku pia mama kaenda sokoni katuacha home na Mdogo angu ,ilinyesha bonge la mvua na radi za kuogopesha yaani, nikafunga mlango nikaanza kulia "Mdogo angu leo tunakufaaa mamaa weee" ikabidi Dogo ndye anibembeleze sister ake kwamba tutulie tu radi zitaisha[emoji3] [emoji3].huwa ananicheka hadi Leo eti nilikua kajinga jinga[emoji23]🤣🤣🤣 Mbavu zangu leo zinachomoka. !!
Daah huyo mama atakuwa aliona aibu sanaHili neno nililisikia mtaani sasa nikadhani ni kama nelo lenye maana ya utani, so mimi kama vile nilikua amwambia yule mama aache utani, ananitania kwa sababu kwenye jamii yetu mtoto wa kiume kuambiwa unafanana na mama yako ni kama dharau hivyo unaweza kujikuta hata shuleni unakosa amani unataniwa kua unafanana na mama.
Kumbe bwana nyege ni nyege na sio utani. Nikikumbuka najiona mjinga sana.
Ha ha ha nimependa uoga wako😜😉Utoto huu, acha tu mkuu kuna siku pia mama kaenda sokoni katuacha home na Mdogo angu ,ilinyesha bonge la mvua na radi za kuogopesha yaani, nikafunga mlango nikaanza kulia "Mdogo angu leo tunakufaaa mamaa weee" ikabidi Dogo ndye anibembeleze sister ake kwamba tutulie tu radi zitaisha[emoji3] [emoji3].huwa ananicheka hadi Leo eti nilikua kajinga jinga
Huu si uoga ni kaujinga mkuu, ilasomehow nimeimprove siku hizi[emoji3]Ha ha ha nimependa uoga wako[emoji12][emoji6]
Kwangu nitaendelea kuita kauoga ka ki financial services 😉😉.. itakuwa vyema kama umeiprove maana utanitoa mbavu😂😂Huu si uoga ni kaujinga mkuu, ilasomehow nimeimprove siku hizi[emoji3]
😂😂😂Na ilinikaa sawa kweli maana, nilivoona anakimbia ndyo nikaelewa hii hatari[emoji3] nikachomoka pia ,baadaye mama anawasimulia wenzie nilichomfanyia wananichekaa[emoji3]
Nakumbuka wakati niko na miaka 10 hivi mama yangu wa kambo akanipa nguo za Mzee nifue na box kubwa la sabuni ya unga .Nikatia sabuni kiasi nikaanza kufua, wakati operation inaendelea akaja kukagua huku analalamika nimeweka sabuni kidogo nguo hazita takata.
Nikajiongeza nikawea box lote aisee,kusuuza mpaka sabuni iishe nilitumia maji pipa zima na kipindi hicho maji ya shida nilikua nachota mbali hatari,, .Kichapo cha kumaliza sabuni pia kilinihusu .
Hahaaa, ulijikomoa aisee poleee ,umenikumbusha siku nimeoshea vyombo sabuni ya kuogea(Geisha) vyombo vinanukia hivyo kama vimetoka bafuni kuoga[emoji3] [emoji3] mother alikasirika huyoo akanidunda na nikaambiwa nikarudie kuviosha Kwa sabuni ya kawaida[emoji3]Nakumbuka wakati niko na miaka 10 hivi mama yangu wa kambo akanipa nguo za Mzee nifue na box kubwa la sabuni ya unga .Nikatia sabuni kiasi nikaanza kufua, wakati operation inaendelea akaja kukagua huku analalamika nimeweka sabuni kidogo nguo hazita takata.
Nikajiongeza nikawea box lote aisee,kusuuza mpaka sabuni iishe nilitumia maji pipa zima na kipindi hicho maji ya shida nilikua nachota mbali hatari,, .Kichapo cha kumaliza sabuni pia kilinihusu .
Wewe ulikuwa noma kweli sabuni ya kuogea tena hahah! Ila utoto bhana raha sana.Hahaaa, ulijikomoa aisee poleee ,umenikumbusha siku nimeoshea vyombo sabuni ya kuogea(Geisha) vyombo vinanukia hivyo kama vimetoka bafuni kuoga[emoji3] [emoji3] mother alikasirika huyoo akanidunda na nikaambiwa nikarudie kuviosha Kwa sabuni ya kawaida[emoji3]
Acha tuu, kuna matukio hadi najishangaa[emoji3] [emoji3]yaani nilikua na maamuzi ya faster nimalize kazi niliyopewa nikacheze, so sikuona sabuni ya kuoshea, nikapata wazo si zote ni sabuni bana nikabeba ya kuogea[emoji3] [emoji3]Wewe ulikuwa noma kweli sabuni ya kuogea tena hahah! Ila utoto bhana raha sana.
[emoji3] [emoji3] ,ningekupa Nyingine ila naogopa ntakuua mbavu zakooKwangu nitaendelea kuita kauoga ka ki financial services [emoji6][emoji6].. itakuwa vyema kama umeiprove maana utanitoa mbavu[emoji23][emoji23]
Zimepoa.. we sema tu..[emoji3] [emoji3] ,ningekupa Nyingine ila naogopa ntakuua mbavu zakoo
Hahaaa, ulijikomoa aisee poleee ,umenikumbusha siku nimeoshea vyombo sabuni ya kuogea(Geisha) vyombo vinanukia hivyo kama vimetoka bafuni kuoga[emoji3] [emoji3] mother alikasirika huyoo akanidunda na nikaambiwa nikarudie kuviosha Kwa sabuni ya kawaida[emoji3]