Vituko: Taja tukio /kituko ulichofanya ukiwa mdogo ambacho ukikumbuka sasa unajiona mjinga

Nilikua kama na miaka 6 sita, tulikua home chumbani kwa mama alikua na mtoto mchanga, Mara ghafla tetemeko kubwa mpaka unaskia vitu ndani kama vinasogea hivi, sasa sijui ikawaje mama anafight tukimbilie nje, Mimi nikatoka speed mpaka mlangoni nikafunga na funguo afu nikazuia mlango,yaani kama nazuia kitu kinachotaka kuingia ndani[emoji3] [emoji3] ,mama akanivuta pembeni eti pishaa huko nitoke na mwanangu kama wee unabaki shauri yako, ndyo nami nikatoka speed nje, nilijua tetemeko huwa linaingia ndani dah
Wewe nawe mama akaamua akuache akili ikae sawa.. 😂😂
 
Nilikua kama na miaka 6 sita, tulikua home chumbani kwa mama alikua na mtoto mchanga, Mara ghafla tetemeko kubwa mpaka unaskia vitu ndani kama vinasogea hivi, sasa sijui ikawaje mama anafight tukimbilie nje, Mimi nikatoka speed mpaka mlangoni nikafunga na funguo afu nikazuia mlango,yaani kama nazuia kitu kinachotaka kuingia ndani[emoji3] [emoji3] ,mama akanivuta pembeni eti pishaa huko nitoke na mwanangu kama wee unabaki shauri yako, ndyo nami nikatoka speed nje, nilijua tetemeko huwa linaingia ndani dah
😂🤣🤣🤣 Mbavu zangu leo zinachomoka. !!
 
[emoji23]🤣🤣🤣 Mbavu zangu leo zinachomoka. !!
Utoto huu, acha tu mkuu kuna siku pia mama kaenda sokoni katuacha home na Mdogo angu ,ilinyesha bonge la mvua na radi za kuogopesha yaani, nikafunga mlango nikaanza kulia "Mdogo angu leo tunakufaaa mamaa weee" ikabidi Dogo ndye anibembeleze sister ake kwamba tutulie tu radi zitaisha[emoji3] [emoji3].huwa ananicheka hadi Leo eti nilikua kajinga jinga
 
Hili neno nililisikia mtaani sasa nikadhani ni kama nelo lenye maana ya utani, so mimi kama vile nilikua amwambia yule mama aache utani, ananitania kwa sababu kwenye jamii yetu mtoto wa kiume kuambiwa unafanana na mama yako ni kama dharau hivyo unaweza kujikuta hata shuleni unakosa amani unataniwa kua unafanana na mama.

Kumbe bwana nyege ni nyege na sio utani. Nikikumbuka najiona mjinga sana.
Daah huyo mama atakuwa aliona aibu sana
 
Utoto huu, acha tu mkuu kuna siku pia mama kaenda sokoni katuacha home na Mdogo angu ,ilinyesha bonge la mvua na radi za kuogopesha yaani, nikafunga mlango nikaanza kulia "Mdogo angu leo tunakufaaa mamaa weee" ikabidi Dogo ndye anibembeleze sister ake kwamba tutulie tu radi zitaisha[emoji3] [emoji3].huwa ananicheka hadi Leo eti nilikua kajinga jinga
Ha ha ha nimependa uoga wako😜😉
 
Nakumbuka wakati niko na miaka 10 hivi mama yangu wa kambo akanipa nguo za Mzee nifue na box kubwa la sabuni ya unga .Nikatia sabuni kiasi nikaanza kufua, wakati operation inaendelea akaja kukagua huku analalamika nimeweka sabuni kidogo nguo hazita takata.

Nikajiongeza nikawea box lote aisee,kusuuza mpaka sabuni iishe nilitumia maji pipa zima na kipindi hicho maji ya shida nilikua nachota mbali hatari,, .Kichapo cha kumaliza sabuni pia kilinihusu .
 
Mambo ya utoto ndo kama hivo kichapo huwa chakufikia tu

Hahaaa, ulijikomoa aisee poleee ,umenikumbusha siku nimeoshea vyombo sabuni ya kuogea(Geisha) vyombo vinanukia hivyo kama vimetoka bafuni kuoga[emoji3] [emoji3] mother alikasirika huyoo akanidunda na nikaambiwa nikarudie kuviosha Kwa sabuni ya kawaida[emoji3]
 
Wewe ulikuwa noma kweli sabuni ya kuogea tena hahah! Ila utoto bhana raha sana.
 
Acha tuu, kuna matukio hadi najishangaa[emoji3] [emoji3]yaani nilikua na maamuzi ya faster nimalize kazi niliyopewa nikacheze, so sikuona sabuni ya kuoshea, nikapata wazo si zote ni sabuni bana nikabeba ya kuogea[emoji3] [emoji3]
 
Kwangu nitaendelea kuita kauoga ka ki financial services [emoji6][emoji6].. itakuwa vyema kama umeiprove maana utanitoa mbavu[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] ,ningekupa Nyingine ila naogopa ntakuua mbavu zakoo
 
[emoji3][emoji1][emoji3][emoji13],utoto shida,.

Back
Top Bottom