Vituko: Taja tukio /kituko ulichofanya ukiwa mdogo ambacho ukikumbuka sasa unajiona mjinga

Nlikua bingwa wa kuiba udogoni, kuanzia Sh50 na Sh100 zilizokua zinakaa kihasara hasara home natembea nazo, mpaka nyama za kukaanga jikoni nlikua bingwa wa kupitia.

Kuna siku nlikua nadokoa nyama jikoni, mama akaja nikawahi kuiweka mfukoni asione. Balaa ilikua yamoto, nliungua mpaka kidonda kikaacha kovu kwenye paja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu hii ya Condom imenikumbusha movie moja ya kitambo inaitwa American pie. Mshkaji alienda home kwa mtoto wa kike bahati mbaya dingi kamkuta. Ilibidi atoke nduki na condom yake kavaa.
 
Duh! Pole sana kwa kuungua kisa nyama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu hii ya Condom imenikumbusha movie moja ya kitambo inaitwa American pie. Mshkaji alienda home kwa mtoto wa kike bahati mbaya dingi kamkuta. Ilibidi atoke nduki na condom yake kavaa.
Miaka hiyo mashine inaweza kusimama hata masaa 8, acha kabisa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…