Usafiri ni hiace
Imepaki kituoni mbele kuna nafasi moja, kituoni abiria ni zaidiya 6 wanataka kuoanda hiyo haice.
Hata haijapaki vizuri, abiria watatu washaudaka mlango wa mbele kuwahi siti, walikanyagana mmoja ndo akapanda.
Wawili waliobaki walipanda nyuma walitukanana njia nzima hadi wanashuka. Kila mmoja akimtuhumu mwenzie kamsukuma, mama mmoja akaingilia jamani hebu acheni matusi.
Mmoja wapo akamjibu, we mama matusi unayajua....
Matusi yapo kitandani, haya nayo matusi au unayataka.....
Mama wa watu akakaa kimyaaa...