Vituko ulivyowahi kusikia/kuona kwenye Daladala

Vituko ulivyowahi kusikia/kuona kwenye Daladala

One day natoka mbagala na elekea goms..kulikua na mdada decent kweli yuko kiti cha mbele yangu sasa ule upenyo wa siti nikawa naona anavyochati kwenyw simu yake.

Daah..yule dada alikua anachati na vidume kama watatu hivi huyo mmoja ndio kama save my forever wengine wote kawasave majina ya kike.

Kila mtu alikua anapangwa kivyake appointmate..huku wakichombezana kwa mahaba mazito.

Nikabaki najisema moyoni hii dunia ya sasa hakuna uaminifu..usipige demu kavu..tafuta pesa linda afya yako jali na kutunza familia yako
 
Usafiri ni hiace
Imepaki kituoni mbele kuna nafasi moja, kituoni abiria ni zaidiya 6 wanataka kuoanda hiyo haice.

Hata haijapaki vizuri, abiria watatu washaudaka mlango wa mbele kuwahi siti, walikanyagana mmoja ndo akapanda.

Wawili waliobaki walipanda nyuma walitukanana njia nzima hadi wanashuka. Kila mmoja akimtuhumu mwenzie kamsukuma, mama mmoja akaingilia jamani hebu acheni matusi.

Mmoja wapo akamjibu, we mama matusi unayajua....
Matusi yapo kitandani, haya nayo matusi au unayataka.....

Mama wa watu akakaa kimyaaa...
 
Daladala ya mwenge kulikua na jamaa mmoja very smart, konda akamfikia kudai nauli kwa mara ya kwanza jamaa hakujibu kitu, konda akazunguka akamrudia tena kaka nauli. Kuna watu wana dharau sana kazi za watu yule jamaa alimwambia konda acha kunisumbua alafu akamtemea mate.
Konda alikasirika akamuamuru suka apaki gari, jamaa alipigwa tunashuhudia na wa kumtetea hakuna.
 
Kuna mwamba alimuuliza mwenzake, vipi hujawahi nyoa nywele za sehemu za siri? Jamaa akasema kwanini?
Naona nywele ipo nje ya suruali. Jamaa kaivuta ilipotoka akajua ni nywele za wigi la mkewe.
 
Back
Top Bottom