adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Wanajukwaa
katika hali ya sintofahamu.
kuna vituko uswahili ambacho wewe
au mimi tuliwahi kukutana navyo!
mi sitasahau hichi kituko.
kuna siku mshkaji mgetogeto aliaalika masela lunch kanunua mazaga ya kutosha ili kulirusha dongo!
kama kawaida mboga ndo huanza ikiwa inapikwa kwa vipodozi vingi na mbwembe!
mboga imeiva mpishi ambae ndio amegharamia kila hapo akapigiwa simu.
masela geto wamekaa kusubiri mwenye gero aje kumalizia na ugali hatokei!
wakaona uboya huu wakaaigizia kila mtu rambo yake wakamwagia mboga huo kila mtu akashika njia yake!
mwenye geto anarudi hakuna mboga na milango iko wazi.
kuanzia kesho yake akaoa hataki tena kuskia masela.yeye anaita masela m.vi.
kituko kingine uswahili kiliniacha hoi kuna jamaa wanaitwa BOKO HARAMU hao jamaa sehemu zote dunia kama kuna mnuso wameshajua!hata zimbabwe wataenda.
iwe msiba au harusi watatia timu!
hawa jamaa wako wachache sana wanajijua lakini wanakula chakula cha watu mia!
wanapiga makonzi balaa ukijipendekeza pande zao.
hawa jamaa chakula kikipakuliwa huwa wanafakamia kawa wametoka somalia mtu anabeba wali wa moto katika mikono yote bila sahani na anakula bila hofu kabisa ogopa!
hawaungui hawa nadhani wameaidiwa moto wakifa!
jamaa wanakula wamesimama ukisogelea sinia yao wanakukata mikono.
Embu na wewe tupia kituko chako chochote ulikiona uswahilini AKA uswazi