Vituko uswahili tupia kituko chako uliwahi kukiona!

Vituko uswahili tupia kituko chako uliwahi kukiona!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Wanajukwaa
katika hali ya sintofahamu.
kuna vituko uswahili ambacho wewe
au mimi tuliwahi kukutana navyo!
mi sitasahau hichi kituko.
kuna siku mshkaji mgetogeto aliaalika masela lunch kanunua mazaga ya kutosha ili kulirusha dongo!
kama kawaida mboga ndo huanza ikiwa inapikwa kwa vipodozi vingi na mbwembe!
mboga imeiva mpishi ambae ndio amegharamia kila hapo akapigiwa simu.
masela geto wamekaa kusubiri mwenye gero aje kumalizia na ugali hatokei!
wakaona uboya huu wakaaigizia kila mtu rambo yake wakamwagia mboga huo kila mtu akashika njia yake!
mwenye geto anarudi hakuna mboga na milango iko wazi.
kuanzia kesho yake akaoa hataki tena kuskia masela.yeye anaita masela m.vi.
kituko kingine uswahili kiliniacha hoi kuna jamaa wanaitwa BOKO HARAMU hao jamaa sehemu zote dunia kama kuna mnuso wameshajua!hata zimbabwe wataenda.
iwe msiba au harusi watatia timu!
hawa jamaa wako wachache sana wanajijua lakini wanakula chakula cha watu mia!
wanapiga makonzi balaa ukijipendekeza pande zao.
hawa jamaa chakula kikipakuliwa huwa wanafakamia kawa wametoka somalia mtu anabeba wali wa moto katika mikono yote bila sahani na anakula bila hofu kabisa ogopa!
hawaungui hawa nadhani wameaidiwa moto wakifa!
jamaa wanakula wamesimama ukisogelea sinia yao wanakukata mikono.

Embu na wewe tupia kituko chako chochote ulikiona uswahilini AKA uswazi
 
238f3897a68450d3de1de4d2c5353082.jpg
 
uswazi raha sana, ile vijana wakilewa gongo/bhangi wanafunga mtaa kwa matusi huwa nacheka sana.

vijana kuwazingua wazee kipindi cha msiba kuwanyima chai, ama msosi kwa kuwa tu wazee hawaoneshi ushirikiano kwenye tukio.

mbwembwe za ushangiliaji hasa simba na yanga ama timu ya mtaani kuna wakat hadi vyombo vya usalama wanaingilia kutuliza hali ya hewa.

uswazi raha sana, miaka 24-32 ukiishi uswazi ni safi baada ya hapo hamia sehemu tulivu.
 
Wamama wa uswazi wanasomba Maji kwa kichwa huku wamevaa kanga moja tu kifuani

Mama wa kiswazi ananunua maandazi chai kwa jirani anaenda na kikombe kuomba

Wa baba wa uswazi wanapenda kukaa vibarazani wamevaa taulo hata siku nzima

Wamama wa uswazi hawawashi moto kabisaaa,,anaweza kwenda hata nyumba ya kumi na jalo
 
Nyumba nyingi za uswazi mapazi ya madirishani ni kanga na vitenge vilivochakaa
 
Wamama wa uswazi wanasomba Maji kwa kichwa huku wamevaa kanga moja tu kifuani

Mama wa kiswazi ananunua maandazi chai kwa jirani anaenda na kikombe kuomba

Wa baba wa uswazi wanapenda kukaa vibarazani wamevaa taulo hata siku nzima

Wamama wa uswazi hawawashi moto kabisaaa,,anaweza kwenda hata nyumba ya kumi na jalo
moja ya tabia nisiyoipenda ni iyo kuomba moto
 
Back
Top Bottom