Vituko vinavyoendelea Tanzania ni kazi ya maruhani.

Tikerra

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
1,702
Reaction score
147
Kwa mtu anaye angalia mambo kwa umakini atagundua kwamba mambo yanayoendelea katika jamii yetu kwa sasa sio ya kawaida kabisa.Mwanadamu tunayemjua hawezi kabisa kujiingiza katika mambo ya namna hii kwa vile mwanadamu ana huruma,aibu nk.Hakika haya tunayoyaona ni kinyume kabisa na kwa hakika kazi ya maruhani.Nikisoma amri kumi za kiruhani(nenda http://onecosmos.blogspot.com/2006/08/ten-commandments-of-satan.html),nagundua kitu kimoja,nacho ni kwamba jamii yetu inatekeleza amri za maruhani kwa asilimia mia moja(100%).'But why is this.' Kila mmoja wetu ameruhusu hii 'braiwashing' inayoendelea kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu mno sasa bila kutafakari athari zake.Brainwashing hii kwa kweli inafanywa na maruhani kupitia kwa mawakala wao.Mambo tunayoyaona na kuyasikia tumeyafanya kuwa sehemu ya maisha yetu.Na ndivyo akili ya mwanadamu inavyofanya kazi.Watumishi wa maruhani pamoja na maruhani yenyewe wanalijua hilo,kwamba mwanadamu akiona na kisikia kitu mara kwa mara kwenye TV,Radio nk. kinakuwa sehemu ya tabia yake.Ndio maana wanakazana kusambaza TV na radio stations kila mahali,'they want us to see,think and do what they want.'Na hii ndiyo hali halisi sasa 'and hence' kuharibika kwa maadili.Television ndiyo 'front' yao ya mwisho baada ya kumaliza kazi maeneo mengine.Message ya TV ni hii,'ulivyo na unavyofanya sivyo,unapashwa kuwa hivi.'Kweli kama mtu mwenye akili timamu unalikubali hilo,wewe huwezi kuamua hatima ya maisha yako?'No,'tumeingizwa mkenge na maruhani kwenye mambo mengi sana ni wakati wa kusema hapana na kubadilika.
 

Vituko vinavyotkea havisababishwi na maruhani,havisababishwi na Radio na Television. Wale watu ambao hawana Television kutazama BBC,Sky News,na CNN,ndio wanowaua ,ndio wanofukua maitindio wanaokunywa, pombe za machicha na kuwaua wapenzi wao baada ya kuwafumania,ndio wanaombaka mwanamke,na kumweka vijiti kwenye nyeti zake,kwa sababu hawajui mambo gani yanatendeka duniani.
Vibaka wamejazana kituo cha mabsi Ubungo,wakati mwingine kwa kushirikiana na Polisi wa pale. Hawajui principle ya Chaos katika hesabu,kwamba mwanzo wa safari ukiwa mbaya kidogo,mwisho wa hiyo safari utakuwa mbaya sana.
 
Hakuna cha Maruhana, Maruhane, Maruhani, Maruhano walaruhanu.
Ni moja katika hatua za Maendeleo ya Jamii. Kama ustaajabu haya, basi ujue ni ya Musa tuu hayo yajayo ndiyoya Firauni sijui utasemaje?!.
 
Hapa hakuna kinachosababishwa na Maruhani (Freemasonry).
Kinachoendelea Tanzania ni kuonyesha kuwa viongozi wa Dini/Imani wameshindwa kazi, na inaonekana kuwa wengi wao wanahubiri mambo magumu ambayo wao wenyewe hawayawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…