Kwa mtu anaye angalia mambo kwa umakini atagundua kwamba mambo yanayoendelea katika jamii yetu kwa sasa sio ya kawaida kabisa.Mwanadamu tunayemjua hawezi kabisa kujiingiza katika mambo ya namna hii kwa vile mwanadamu ana huruma,aibu nk.Hakika haya tunayoyaona ni kinyume kabisa na kwa hakika kazi ya maruhani.Nikisoma amri kumi za kiruhani(nenda http://onecosmos.blogspot.com/2006/08/ten-commandments-of-satan.html),nagundua kitu kimoja,nacho ni kwamba jamii yetu inatekeleza amri za maruhani kwa asilimia mia moja(100%).'But why is this.' Kila mmoja wetu ameruhusu hii 'braiwashing' inayoendelea kwenye vyombo vya habari kwa muda mrefu mno sasa bila kutafakari athari zake.Brainwashing hii kwa kweli inafanywa na maruhani kupitia kwa mawakala wao.Mambo tunayoyaona na kuyasikia tumeyafanya kuwa sehemu ya maisha yetu.Na ndivyo akili ya mwanadamu inavyofanya kazi.Watumishi wa maruhani pamoja na maruhani yenyewe wanalijua hilo,kwamba mwanadamu akiona na kisikia kitu mara kwa mara kwenye TV,Radio nk. kinakuwa sehemu ya tabia yake.Ndio maana wanakazana kusambaza TV na radio stations kila mahali,'they want us to see,think and do what they want.'Na hii ndiyo hali halisi sasa 'and hence' kuharibika kwa maadili.Television ndiyo 'front' yao ya mwisho baada ya kumaliza kazi maeneo mengine.Message ya TV ni hii,'ulivyo na unavyofanya sivyo,unapashwa kuwa hivi.'Kweli kama mtu mwenye akili timamu unalikubali hilo,wewe huwezi kuamua hatima ya maisha yako?'No,'tumeingizwa mkenge na maruhani kwenye mambo mengi sana ni wakati wa kusema hapana na kubadilika.