Wakuu kwema Heri ya mfungo huu unaoendelea na heri ya Sabato pia.
Niingie kwenye maada kabla sijazama ndani naomba wajuzi wa mambo watadadafua nini maana ya vituko na Beach.
Kwa mimi vituko naweza sema ni hali ile isiyo ya kawaida ambayo haiendani na utamaduni wa sehemu fulani.
Beach ni offshore na onshore parts of the lake or ocean(samahani mwalimu wa Geography)
Wakuu Mimi nimekulia maeneo ya mto flani na kandokando ya Ziwa Victoria huko kanda ya Ziwa.
Nikiwa shule(Pri & Sec) na mtaani nilipata marafiki kibao wengi wakiwa na interest ya kuzurura katika mwambao wa Ziwa.
Kwa tuliokua na interest sana tulikua watano, wengine tuliwashawishi siku mojamoja tunaongozana.
Hapa chini nitaongelea baadhi ya vituko nilivyokumbana navyo beach..
1.Baada ya kumaliza darasa la saba tulienda beach kuna mdada wa darasa alikua kaumbwa sasa kaingia kuogelea washkaji wakamvua kutoka yupo uchi.
2.Siku hiyo tumeenda na marafiki zangu wengine ndio wale wa siku mojamoja,Tukakodisha mtumbwi kuna tuliojua kuogelea na wengine hapana! Sasa jamaa wa mtumbwi katupeleka mbali kidogo kama ukishuka maji yatakufikia kifuani,sasa tulikua tumekaa vibaya mtumbwi ukapinduka majini tulikaa hovyo hahahahaha kuna jamaa zangu waliingia na nguo zao wakaloa maji.
3.Waimbaji,wavuta bangi wanapendelea fukweni huko wakiwa na warembo wao wakivuta na kupigana Kiss hadharani.
4.Kulikua na uwanja wa volleyball sasa tukaenda kucheza sasa rafiki yangu kapewa smash ya uso kapoteza kidogo kama dakika tano hivi.
5.Kupauka na nguo za ndani kuchora ramani kwa ambao hawakujiandaa kwa ajili ya kuogelea.
6.Kulikua na muda unafika sato(Tilapia) wanaelea juu ya maji ni kujisevia tu kama unaweza washika,Sasa kuna jamaa alikua akitunza bustani za beach,tulikamata sato akatudanya hao samaki wana Sumu tukamuuzia kwa shilingi 400TZS samaki wa 5000-6000.
7.Nilifika na Coco,Kunduchi na Ndege beach nako niliyaona ya huko.
Kwa leo niishie hapa kwani beach ina mengi nawe waweza tupia kituko cha beach ulichowahi kutana nacho.