Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
[emoji23] tajiri lazima aende super market au anywe whskyUkitaka kukumbuka mpaka uangalie kenchi
Hahaha na lazima siri ijulikanebeki 3 lazima agongwe na father house
[emoji23] na abetue midomoJini lazima acheke sana, na ukifa lazima damu zitoke mdomoni hata unywe sumu
Muda huo linatoa udenda[emoji23]Jini likitaka kuvuka barabara lazima liangalie huku na huko kama gari linakuja!!!!