Vituko vya couple za JamiiForums

FYOKO

Senior Member
Joined
Jul 6, 2017
Posts
144
Reaction score
167
Hawajuani kwa sura,hata picha tu,hawajawahi hata kubadilishana namba isitoshe hata uko PM hawajahi kuchati...Kinachoshangaza unakuta mtu anakumaindi akiona unachombeza kwa anayemuita mpenzi wake yaani hata papuchi hajawahi onja unakuta lijamaa linamsifia demu wake humu kama linamjua vizuri na nyie wanawake mnajifia nini unakuta lijamaa hata hujawahi kuliona...!! Kama umejoin JF hivi karibuni zisikutishe hizi couple ni majigambo tu wewe yeyote ruka nae....!!
 
Mbona tunajuana sana tu wewe endelea kudhani hatujuani tunajua kweli kweli yaani pika na kupakuwa... hahaha hakuna nadharia hapa ni True story inayofichwa na keyboard.. Sisi wahenga tunajuana wenyewe nyine ambao siyo wahenga endeleeni kudhani kuna couple zinatania humu...hhhh
 
Jamani, wenye vingi watupunguzie tusio na kitu, Vizuri kula na jirani yako wahenga wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…