FYOKO
Senior Member
- Jul 6, 2017
- 144
- 167
Hawajuani kwa sura,hata picha tu,hawajawahi hata kubadilishana namba isitoshe hata uko PM hawajahi kuchati...Kinachoshangaza unakuta mtu anakumaindi akiona unachombeza kwa anayemuita mpenzi wake yaani hata papuchi hajawahi onja unakuta lijamaa linamsifia demu wake humu kama linamjua vizuri na nyie wanawake mnajifia nini unakuta lijamaa hata hujawahi kuliona...!! Kama umejoin JF hivi karibuni zisikutishe hizi couple ni majigambo tu wewe yeyote ruka nae....!!