Vituko vya couple za JamiiForums

basi itakuwa wewe ndio unataka kumtia majaribuni, ushindwe!

je, umemjaribu ndugu yangu Asprin labda uone?
Sasa kwan ujui kazi ya mwanamke ni kukutia majaribuni

Eee huyo babu namwogopa bora nibaki na Ivuga wangu
 
ahahha sasa woga wako ndio umaskini wako, maana yeye ndio msajili na mhakiki mkuu wa chama

CC Asprin kwa utekelezaji
Utekelezaji gani[emoji19] [emoji123]

Usahil alishafanya na bazazi mwenzie daby
 
Wakati ni ukuta ukishindana nao utaumia.

JF MMU kumejaa sanaa na wasanii hivyo ukikomaa nao utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia.. Binafsi huwa napita kule kama sehemu ya kupoteza muda na kutafuta amani ya roho kwa kusoma vituko vyao..

JF MMU ichukulie kama KIBITI usalama ni sifuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…