Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenoa.... ila pia siwakataiHee sijui kasinde, husna, yule mwngne sijui nani
Mkuu kuwa mpole Kaka. Hawakawii kukupa kesi ya uchochezi!Hivi couple yangu imeenda wapi? Mbona imepotea gafla
Uyo unaempenda sikuhz ni nani?Umenoa.... ila pia siwakatai
Amekupitia?[emoji28][emoji28]Sasa kwan ujui kazi ya mwanamke ni kukutia majaribuni
Eee huyo babu namwogopa bora nibaki na Ivuga wangu
Noo hajapita
Haha, ila hizi couples huwa zinainogesha JF to the extent.
Atakuja utamwona... mimi napendaga on the spotUyo unaempenda sikuhz ni nani?
Nilikua nakutafuta...njoo kuleHahaha ha ha ha ngoja mahandow afike
Mkuu hizi couples wache ziwepo humu. Zinafurahisha Kwa kweli!Haha, ila hizi couples huwa zinainogesha JF to the extent.
Naombea nisije fanyiwa yako nikaachwa palestina na kanzu yangu