Vituko vya couple za JamiiForums

Kazi hii ingekuwa binafssi, hakika nisingekuita. Yeye mwenyewe alishuhudia ya kwamba wewe u mtu hatari kwake anakuogopa[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Sitembei na guruneti wala makinikia. Hatari yangu iko wapi.

Inamaana ulishindwa kunitetea msaidizi wako?
 
Alikuwa anapanda ungo wake kwenda kwa wanga wenzie waende kuwanga makaburini, bora hukumstua.
Hahhaaaa me thimoooo [emoji119] ..ila najua kaka angu Mshana jr hana hzo tabia ameokoka
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unacheza na mwananyamala
Ww hee hee tena uckute mko
Hapo kwa hadja kopa

[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we binadamu mkorofi ww[emoji126] [emoji126]
 
Cc rubii

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…